
Tanzanian singer Ali Saleh Kiba has been forced to delete his latest song from YouTube, hours after he uploaded it.
In the few hours the song which he called ‘Hela’ was online, fans expressed their dissatisfaction with the music sensation’s new song.
X
Advertisement
Here are their reactions;
jurmi_jurmi_Kibakuli Umetuzengua umetuletea Utumbo gani xaxa… Nyimbo ya 2012 umekuja ifanyia video 2018 Naona xaxa Next project itakuwa “kimaso maso”…TUTAKUWA TEAM HARMORAPA SASA…COZ HARMORAPA AMEKUSHINDA SASA.
oyce4real2017@officialalikiba mbona nyimbo hatuipati YouTube au mie tu.
ohnsonngakomasasa braza kiba mbn unawatesa shabik zako tangaza umestaafu muziki wajue….wabaki wanaangalia nyimbo zako kam clip za kina ronaldinyo @officialalikiba.
officialkisimpleKiukweli umetukosea sana mashabiki wako na unavyoelekea utapotea kimziki tuambie moja km unataka kuacha mziki bora uache tujue moja maana cc ndio tunaopata tabu bro yaan umetuferisha mashabiki zako wanakimbia bro
raquiz_star_boyWe jamaa m shabiki ako namba moja ila hi nyimbo kaka umezingua nenda na wakat bn hela ndio nn kaka man piga nyimbo za kuchezeka clb hzo nyimbo za kuimba bungen hela hela hela
nyangephotoHuwa sikomenti hata kama unakosea. Nakukubali sana. Ushahuri tu bro, hizo nyimbo za zamani zilikua na ni nzuri. Kuzirudia kwa sasa kama project za kibiashara nadhani hahitakusaidia kitu bro. Mashabiki wengi wanafikiri kama mimi.
Evarist ChahaliVerified account @Chahali Honestly, nadhani King Kiba is overrated. Ana kipaji cha hali ya juu lakini sijui tatizo ni management au uzembe wake mwenyewe. Labda aelekeze nguvu zaidi kwenye soka (naongea haya kama Team Kiba).
emmanuelraisKing umeyumba mzee wakati|mda huu hukutakiwa kutoa ngoma ambyo tayari audio ilishasikilizwaga kitambo, Ila sema nini 2naishinao.
mpasukooJamani mimi team mond lakin kusema ule ukweli @advocate.fi alikiba anazingua sana analeta mazoea na mziki.
pambakyotoWe jamaa sio mzima kwa kweli watu tumekaa mkao wa kula tunasubiri chakula tule umetulisha mavi SAA hivi tunatapika tu badilika brother unachosha sio siri hivi unApata wapi ujasiri wa kujiita king kwa haya madudu unayoyatoa sasa hivi kuliko kuendelea kutudhalilisha mashabiki wako mitaani basi nikushauri staafu mziki kwa heshima ili uendelee kucheza mpira mana sio kwa maboko haya