Dear ladies, do you know the meaning of your first/ Christian name?
Below is a list of funny characteristics of Kenyan women with these names
1.Nancy – Muongo
2.Julieth – Kicheche
3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu
4.Precious – Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza
5.Hellen – Ana busara anapozungumza na mpenzi wake
6.Rose- Anapenda mwanaume mwenye pesa
7.Eunice – Hapendi ndugu wa mume wakr
8. Agness- Ana upendo wa dhati na Akipenda kapenda
9.Pauline – Hana vigezo vya mwanaume anayemtaka
10.Catherine- Mbinafsi ktk mapenzi,anajijali pekee kuliko mpenzi wake
11.Mariam – Anapenda kuwa rafiki na mpenzi wake
12. Loveness – Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu
13.Monica – Anajivunia mpenzi wake popote
14.Mellisa – Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hta kama amekereka
15.Elizabeth – Hapendi kujihusisha na mahusiano
16.Emmy – mtaalamu wa kutongozea marafiki zao(kuwadi)
17.Frida – Anapenda sifa kwa wanaume
18.Theresa – Mvumilivu ktk mapenzi
19.Eve – Hana mwanaume maalum,
20.Hilda – Muumiza mioyo ya wanaume wengi
21.Jackline – Ni mlipiza visasi
22.Lydia – Anampenda mtu ili apate/Afanikiwe kitu flani(Malawi binafc)

23.Carol – Ni Muongo kupitiliza na still anaaminika
24.Josephine – Hataki mpenzi but anataka mume
25.Grace – Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmoja katika hao wengi
26.Anna – Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa
27.Beatrice – Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa
28.Rehema – Anapenda waume za watu
29.Brenda – Akipenda anapenda kufa
30.Diana – Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenzi wake na anaangalia tu
31.Ruth- Ni msaliti kwenye mahusiano
32. Jane – Ni mapepe kwa nje lakini akiwa na mpenzi wake ni mpole
32. Rachel – Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu
33. Neema – Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa
34. Mwende- Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake
35. Esther- Anaamini kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni dhambi
36. Violet – Mkorofi
37. Sylvia – Mkimya sana awapo na mpenzi wake
38. Christine – Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake

39. Doreen – Ana aibu sana kwenye mapenzio
40. Purity – Anapenda sana ila anaumizwa sana pia

41. Ebby: Wanapenda sex sana and silent killers
42. Tabby — hasira na kaujuaji kwa mpenzi “dont cares either udump then nt” ???
43. Susan- hard to handle ” wanapenda kubembelezwa”
44. Liz – wanakuanga na heshima kwa wapenzi
45. Angela -visirani kwa jambo dogo