Entertainment,Political And Lifestyle News Website. We Provide You With The Latest Breaking News, Gossip And Videos Straight From The Industry.

Total Pageviews

4,102,323
PropellerAds

Advice To Those Who Want To Marry A Lady From Luyha Community.




Kwa wale Wanaume wanataka kuoa kwa waluhya, get your facts here….
✅Ukitaka bibi anapenda ukulima, tafuta bukusu.
✅Ukitaka bibi anapenda usafi na pesa tafuta maragoli.
✅Ukitaka bibi atavumilia shida zako zote tafuta isukha.
✅Ukitaka bibi anapenda kelele tafuta kabras.
✅Ukitaka bibi msomi, enda samia.
✅Ukitaka bibi maringo enda Bunyore.
✅Ukitaka bibi domodomo but hard working, enda marachi.
✅Ukitaka bibi anapenda shitieni, anapenda raha, enda idakho.
✅Ukitaka bibi expensive ku maintain, fashion ndio zake, tafta muwanga.
✅Ukitaka bibi kiburi kukushinda tafuta mnyala
✅Ukitaka bibi hatasema umpatie fare ya kwenda sokoni but anaweza jiendeshea bike ama aende mguu ..mumarama..
✅Ukitaka bibi wa kukupenda tafuta- mutsotso..
✅Ukitaka bibi wa vituko tafuta-mkisa.
✅Ukitaka bibi wa hasira tafuta-mtiriki.
✅ Ukitaka bibi hajui nini anataka tafuta mtachoni.

Related Posts:

PropellerAds
(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-101756261-1', 'auto'); ga('send', 'pageview');